top of page
SWAHILI MATERIALS
Vyombo
vya kukusaidia katika kazi yako.

Tools
Please reload
Semina ya Siku Moja
"KUONA Agizo Kuu"
Utambulisho wa Strategic Impact kwa wachungaji na viongozi wa Kikristo.

VS
There are no items in this list
Please reload
LT

Kongamano la Viongozi
"KUPATA UZOEFU wa Agizo Kuu"
Mafunzo ya siku tatu yenye kuleta uzoefu wa kukua katika maisha binafsi ya kiroho, ujuzi wa uongozi na upandaji wa makanisa.
Please reload
SMCP

Shule Ya Kuzidisha Wapanda Makanisa
"KUJIFUNZA na KULIISHI Agizo Kuu"
Mafunzo ya mwaka mmoja mmoja yatakayokusaidia kupata uzoefu wa kukua katika Kristo na kuzidisha upandaji wa makanisa.
Please reload
SML

Shule Ya Kuzidisha Viongozi
"KUONGOZA na KUZINDUA Agizo Kuu"
Mafunzo ya mwaka mmoja yatakayokuletea uzoefu wa kuzidisha viongozi na mtembeo wa upandaji makanisa.
Please reload
bottom of page